
Business idea yangu yenye nataka kuanza ni kuuza maziwa. Naplan kununua maziwa from farmers alafu napeleka to the outskirts of juja town,places kama juja farm,darasha,munge'tho na kasororo. Niko na trust mingi kwa hii biz yangu juu nimeona wasee wakiprosper through milk sales Meshers wenzangu mnaeza nipea insights about hii biz.
0
0
0