Business lady in Nairobi analipa Ksh. 200,000 per month kama rent. Then landlord anamfukuza ju amepata tenant wa pesa mingi. My question is; kwani ukirent nyumba si inafaa u sign legal documents ama??