Business management is quite a hard task..juu unaezapata yes umemake profit bt when it come to re_investing the profit inakaa Ngumu juu unapata uko na daily need you need to satisfy as a person..then after a while unapata stock imepungua na hii inacomplicate business...I need any advice if any on ways of managing business na needs
0
0
0