
Business Poa unaweza implement kama Tailor Ni kuanza kufunza watoi How to sew.
Na hii new syllabus mpya ilikua introduced sahi inamake watoi wajue skills kathaa hapa na pale.
Kama tailor unaweza take advantage, Uki funza watoi am sure watakua better at this skill hadi washinde peers wao.
Its never too early kufunza watoi how to sew, wako young plus active and creative.
What do you think Guys ?

0
0
0