
BUSINESS STARTUP.
Before uanzishe your business, piga research kwanza. Tafuta favourable spots zenye utaanzisha your business. Usiendee place yenye imejificha huko ndani ndani, hapana, Weka biz yako penye kuna watu na penye inaonekana.
Another thing ni unafaa kuwa unajua intrests za your target customers. For example unataka kueka biz ya kuuza cladi, cheki penye kuna mayut wengi ju wao ndio hupenda kung'ara.
Then pia lazima ukuwe na capital. Doh za kuanzisha your biz. Pia kuwa na knowledge ya kuhandle your monies usijipate umekula stock yote. #ShujaazBiz #Tujijenge
0
0
0