
Campaign imeanza. Sasa mnataka kudanganywa Vile "Nyinyi kama wakikuyu, Nyinyi kama waluhya, Nyinyi kama Wakalenjin, Nyinyi kama wajaluo etc" mko sawa/pamoja, lakini wakiendea Covid-19 vaccine hawakuendea kama wajaluo, wakikuyu, Wakalenjin, waluhya etc. Walienda kivyao sindio? 😆
Tusikubali kubebwa ndogo kipindi hiki
0
0
0