
Can’t wait kufunzwa a lot about Credit and Loans. Wasee wengi kwa biz hatuna hiyo info. Alafu nimecheki wasee wengi wanadai wako CRB. Mi naezawasho tu kukuwa CRB isikufanye usigrow kwa biz. Last year ilikuwa tricky kwangu sana. Nilikua CRB, biz ilikuwa down na maissues tu mob huko home shagz. Kitu nilifanya ni niligoogle venye ntajitoa crb. Maze me sikutaka kuendelea na hiyo lifestyle. Nikaangalia bank ilinieka blacklist nikawacall kupanga venye nitalipa pole pole. Maze imagine by the time nilimake payment ya tatu walinitoa list ya crb. Nilimaliza kulipa last week. Hiyo time nilitolewa list nilimanage kuchukua loan nyingine kuinua biz. Sahi naezasema biz imeshika mbaya sana. Wasee kama mko na maswali kuhusu #CRB nirushieni hapa ntajibu. Ama msee yeyote pia ako na information ajibu. We are #MESH!!!