
#Capital ni kila kitu kama wewe ni mse wa #Biz what does capital mean to you?! 🤔 Kuna opportunities gani za ku-get capital during hard times kama sahii?
Skia story ya Barbara na vile ali-get capital yake!! React, comment na share ideas zako pia! Ako hapa MESH, feel free ku-connect na yeye!! #SisiNiMESH 👊🏿
0
0
0