
#Capital ni kila kitu kama wewe ni mse wa #Biz what does capital mean to you?! 🤔 Kuna opportunities gani za ku-get capital during hard times kama sahii?🤔
Share na community vile uli-raise au vile una-plan ku-get capital ya hustle yako 😎 Comment na share ideas zako!
#SisiNiMESH 👊🏿 #FormNiKujengana 💪🏾

0
0
0