
🆕 @[Captain Ashok] alichapiana na MESHers wanachapa #Biz online; @[Johnson Chigamba] anafanya online trading part-time na @[Byron Osomo] anauza nguo online kupitia platforms kama jiji. So far wame-learn lessons mob sana. Top tips 👇🏿
*Be careful of online cons! 🚫 Make sure umeona goods zako before umelipia.🚫 *Do not wait to start your Business!⚡ Start now with what you have! ⚡ *Always do your re-search. 🧐 Don't listen to peer pressure, jitafutie! 🧐
Skia video yote hapa alafu share na sisi what you have learnt ukichapa Biz online so far. Tujengane kwa comments! #MESHKonnect #OnlineBusiness
0
0
0