Cash ikiingia na cash ikitoka...
Zinafaa kusaidiana.
Sio kupigana. 😅
Watu wengi hufocus upande mmoja.
"Fuatilia customers walipe haraka."
Ama,
"Chelewesha kulipa suppliers."
Lakini cash flow ni timing.
Sio upande mmoja kushinda.
Mfano...
Customer analipa after 30 days.
Supplier anakupa 45 days.
Biashara inapumua. 😌
Geuza story.
Customer analipa after 60 days.
Supplier anataka pesa after 30.
Hapo pressure huanza. 😬
Si juu sales ni chache.
Ni juu timing haipatani.
Cash flow nzuri si kuhusu kuuza zaidi pekee.
Ni kuhakikisha pesa inaingia kabla haijatoka.
Wewe biashara yako, customers hulipa faster kuliko suppliers, ama ni vice versa? 👇
0
0
0