
CBEX Crypto investment waliambia investors wata double doh yao to 100% return in 30 days.
Walikuwa wakiwaskuma walete mabeshte pia, juu kulikuwa na bonuses na tiered rewards kulingana na vile network yako ya referrals iko kubwa.
Pyramid scheme imeanguka sasa.
Quick cash is a risk, avoid those people.
0
0
0