
Challenge kubwa yenye mimi nimekuwa nayo kwa biz ni kushindwa kubalance finances. Ilifika point I needed too much money for my treatment nkakuwa out of personal cash nkadecide kuchip in kwa doh ya biz but wueeeh,ilinimess big time. Kila mtu anafaa tu kuwa na discipline hiyo side ya pesa ya biz otherwise utaanza scratch kama mimi
0
0
0