Challenge moja ya biz ni kukosa external support kifinance hivi unapata hauna enaf stock kwa hustle yako na hivo ndivo sales zinakuwa chini