
Challenge napata nikiwa nimechukua loan,alafu biz iko chini,ingine maua kukauka juu sina machine yakupump maji,ndio maji ifikie maua yote poa..ingine ni wadudu wanakula maua na fruits,customer anachagua maua alafu ikifika time ya kutuma doo,hapo ndio anareverse,nabaki nimepoteza maua za doo mob..
0
0
0