
Challenges faced by entrepreneurs in Kenya,
Entrepreneurial spirit Iko Alive sana among mayouths Kenya saa hii , it's a good thing to think having a business of your own, but pia ni poa kujua challenges zenye zinaface young entrepreneurs uku nje ndio ukuwe rada before uanze biz yako:
📝 inadequate skill and knowledge - before uanze biz ni poa kupiga research ujue what it takes kurun biz kama iyo 📝limited access to credit - funding ukuwa factor vital sana kwa biz kuhandle supplies na kushika stock unaitaji credit na kama hauna access fitie for a start unaeza kuwa na hard times kurun biz yako 📝 rapid change in technology - unafaa kukuwa rada of new tech trends ndio ujue vile unaeza tumia the new technology to better your services juu sometimes ukizubaa competitors wanaeza kutoa kwa market bila kujua 📝High taxes - hii ni challenge Iko kwa economy in general so unafaa kukuwa na strategy fitie na portfolio poa ya biz ndio ukuwe unaeza lipa taxes zako na bado ukuwe na profit in the long run
Share kwa comment challenge unaface kwa biz yako , meshers wakusaindie kui_address and grow your business better 💪 #kujengana