Chapaa yangu natumianga 60% on essentials ka food na housing,then 20% nasave na mshwari then the rest naieka for emergencies