Charger ikiwa slow haimaanishi simu haitajaa ni patience tu. Hustle yako iko same.Stay plugged in, results zikuje polepole but sure.