
Check out #Video ya one of our members #Katerinah kutoka Mombasa-Tononoka akituchapia vile ame-manage ku-pull through na #Hustle yake huu wakati mgumu wa Covid-19 pandemic.
#Hustle yake ni #CyberCafe services na pia #Online jobs. After ku-watch video search @Katerinah hapa MESH uweze ku-connect na yeye na kujua more about her #Biz
#TukoNdaniMESH, #TukoSorted!
0
0
0