Check your competition.Kuna duka ya nguo ground floor na wewe umeeka yako 1st floor.Kwanini customer apande stairs akuje kwa shop yako?