
🤑Cheki 4 Tips Unaweza Use Ku-manage Cashflow Yako!
-
Negotiate na suppliers wako kama unaweza get products on credit na pia time ya kulipa ikue long kiasi ndio usikue na pressure sana.
-
Make sure customers wanakulipa wakidai vitu in a short time ndio ukue na cash ina flow kwa biz yako. Jaribu kuuza vitu ndio ukue na cash money badala ya stock kibao.
-
Tafuta cheap and flexible loans ndio uweze kupunguza amount paid back usi-struggle kutumia zile unaingiza kwa biz. Cheki kama unaweza get longer payment time bila interest kubwa.
-
Plan vile utatumia profits ama any extra cash una-get ku-grow biz. Unaweza invest back kwa biz yako ama ujaribu other options kama Money Market funds.

0
0
0