
CHEKI HII STORI LAZIMA TUWE MACHO 🤔 😨
Kuna time beshte yangu alifungua bale ya mitumba clothes akashtuka mbayaa! Aliuziwa nguo za Karate akidhani za watoto na hakuna kurudishanga bale once umefungua pale Gikomba.
Ushai chezwa na wauzaji wa Mitumba either na retailers ama wholesalers? 🤔
0
0
0