
Cheki hizi tips kadhaa zinaeza kusaidia kugrow biashara yako 💬
-
Good customer services -hizi customer services nikama vile after sales sevices eg packaging,deliveries etc hizi services inaimprove customer satisfaction .
-
Advertise your business _ advertising bizna yako unaeza ifanya kwa online platforms kama vile instagram,Facebook na watsup. Hii ita saidia kuattract more customers na kuwapea an idea ya bizna yako.
3.quality products ama services-kwa bizna ili ukue mtu wa biashara mwenye anaaminika lazma products zako zikue quality ,for example kama ni nguo material yake lazma ikue kenye customer anadai.
4.study business trends _ hizi ni upcoming features with the pple taste coz taste za watu huenda ziki change.hii ita fanya uavoid kuuza vitu hazi attract wasee for example kaa ulikua unauza crocs za kawaida then uone watu wameachana nazo juu wanadai zile customised crocs zimetokea thus unafai kubig up ur bizna usiachwe nyuma.
5.cash flow_ kama business owner unafai kujua how ur cash is flowing yaani pesa inaingia kwa bizna na yenye itatoka ili ikisaidie kujua profits na losses una under fo so that you can plan better. #retailandhawking