
⏩ Cheki hizi tips tatu za ku-maintain #Biz yako hii period ya elections 📈
- Focus on products ama services ziko relevant hii time, for example kuuza food stuff ama ku-provide transport.
- Kama mse wa #Biz remember customer is always right, stay neutral ikikaam kwa story za politics.
- Last but not least, your safety comes first! Usiende places ziko na high risk of danger, avoid as much as you can.
Tujenge na Tips zako pia, what else can we do during hii period?! 🤔
#StaySafe #SisiNiMESH

0
0
0