Cheki nataka kushift from wood to boards.. hi ni sababu ya vile kiniramba recently. Nilipata gig ya IT, nikaachia msee aniundie kama fundi, aliunda vituko. Sasa coz of quality and brand, nadai kuanza soon, my goal is creating affordable, classy home furniture.
Nani atakubali kuwa partnership, wewe ununue board, mimi niunde na tukuwe na post dated check.




0
0
0