
Cheki si lazima ukuwe kwa kazi ya Gava ndio u make it in life , ukianza any biz i dedicate kwa Lord na ukuwe serious nayo ,chora plan na ile mambo utakuwa unafanya monthly ama anually nayo , kuwa na target na hio ndio itakuwa inakukaza kuchangamkia bizz yako. Invest through hiyo bizz yako na bado ukipata ume invest v heavy usiachane na ile ya kwanza ,endelea nayo ju itakufanyia mambo mob sana na ndio utakuwa unatumia kwa watoto na wajukuu wako as in utakuwa unawaambia ulianzia hapo .
0
0
0