
Cheki, ukiwa graphic designer, typography ni kitu crucial sana. Font choice inaeza break ama make design yako. So, ku-learn the basics za typography – alignment, spacing, weight – ni lazima. Usifocus tu kwa design aesthetics, uki-understand the science behind type itafanya kazi yako ikue readable na visually appealing.
Happy Wednesday!

0
0
0