Cheky wadau me nashona viti ukidai set unafanyiwa na nijob inalipa so youth usilalishe tafuta skills ata me naeza dai kupata kijana nimpeleke na rada ya wera so wadau changamuka uwezi pata support bila skills 👊👊👊

0