
City County Of Nairobi ime-issue directive ku-stop hawkers from selling their wares along major streets za Kanairo.
Hizi Streets ni kama Moi-Avenue, HaileSelassie, Ronald Ngala, Mfangano Street, Latema Rd, Hakati Road, Kenneth Matiba Rd. hadi the most popular one-RiverRoad😲!!!
Hawking will only be done on the designated hawking zone btw. Tom Mboya Street to Kirinyaga Rd. Na time ONLY btw 4pm.-10 pm.
Hii move, ita-disrupt biz, juu wengi watakosa space za kutandika mali zao.
As a hawker hizi Sheria zitaku-affect aje? See slide no. 2.


0
0
0