
CLIENT COMMUNICATION TIPs
Here are a few tips changia na more ndio we learn from one another.
- Jaribu kuongea language client ananyita
- Double check mwanzo kama ni order
- Usipee client promises zenye hauwezi meet
- Respond haraka, and kila wakati usimlenge.
0
0
0