
CLIENT COMMUNICATION TIPs Kama kawa kwa hii group yetu ya Biz101 sisi ujengana na tips za ku run biz zetu effective. Ongeza kwa comment section ndio #Tujijnge
- Jaribu kuongea language client ananyita
- Double check mwanzo kama ni order
- Usipee client promises zenye hauwezi meet
- Respond haraka, and kila wakati usimlenge.
0
0
0