
COACHING SMALL BUSINESS: TO STOP PROCRASTINATING
Session One - Small Tip to Fight Procrastination💪
Procrastination Hack #1: The 2-Minute Rule ⏱️
👉 Ukijipata unashindwa kuanza kitu kubwa, igawanye hadi kwa task ndogo unayoweza kufanya kwa dakika mbili.
Mfano:
- Badala ya kusema 'Nitaandika business plan', anza na 'Nitandika jina la biz yangu.'
- Ukianza kidogo, utaingia flow na utaendelea bila hata kujiskuma.
Hii ni nguvu ya kuanza—kidogo kidogo hujaza kibaba! 👊
Jaribu hii leo na uniambie imekufanyia aje!
#StopProcrastination #BizCoaching #StartSmall"**
I charge 1500/= only for sessions Dm 0758529557
0
0
0