Come tuchanuane hapa.. Do you know why this Kenyan matatus huwa zinawekwa tyres kubwa za nyuma and mbele n normal tyres? and is it legal Kwa transport sector? Tuchapiane Kwa comment section.