
Comment, ask Questions, connect am ready to help out. Nimeupload my job here too.
I am Bonie, I do photography and videography, I am a Civil Engineering Technician too, vile covid ilikam country ikakua locked biz zote zilisimama, so most clients waliacha kujenga na ndiyo ilikua main hustle yangu, photography ilikua side Hustle but now ilibidi nimeitake kama main, nikaanzisha studio of which sikua nayo kitambo and most of the work I did myself to minimise cost, like kupaint, kutengeneza decors, capentry works na more. Kwa studio nimekua nikidistribute Shujaaz na imekua ikicreate awareness cos msee amekujia shujaaz kesho anakam na beshte anapigwa picha. Kwa studio nimeweka sanitation points, wasee wanawash hands as it's the best way. Then coz 98% walikua na masks, I had available free masks for my clients incase msee akam bila. Tulijaribu kukaa safe and luckily I have not heard of any case among my clients ya covid na nathank God sana. Again niliintroduce a rule, hakuna watu more than two kuingia studio ndani waiting, unless for a group photo, so nikaweka a waiting bay apo kwa verandah coz kuna aeration poa and my clients enjoyed everything I did coz sikupata any complaints. Nilisave then nikaweka wifi kwa studio yangu coz I wanted to strategize on digital marketing pia Wifi inahelp kukeep clients wangu engaged, na pia entertainment as well as alot of information haitanipita. Social media has been my best marketing partner na atleast nimegain. I have been offering discounts and offers like free makeup that really did well. Nimekua nikiparticipate kwa photography contests, which gave me some popularity na dorminance kwa market, nimekua voted 3rd kwa Youth cafe photo contest which is a great honour. Nimekua nikishow mabeshte wajoin, na kadhaa washaa ingia Mesh, wanagain alot, pia my Facebook friends, nimekua nikiweka link ya Mesh coz najua hapa ndo youths wanakua grown by well controlled and managed platform.
