
Comment ya @[Benson Yakhama] on scams alert post I did, explains why so many business zimeanza kukataa Cash on delivery. Check it out ndio pia you protect yourself na biz yako. And thanks Ben for sharing.
"Kuna client aliniambia anataka TV stand ameona online. Akanipea location na contact person, to be paid on delivery. Nifikishe then nipige simu alipe coz hayuko area. The good thing is that nilikumbuka kuuliza maswali. Kumbe jamaa alichukua pics zangu Kwa fb akamarket tv stand ya kes 27k at kes 6500. Then nimefikishie Kwa client wake. Napiga masimu atumiwe pesa haraka azime simu Mimi na client tubaki hapo tukisumbuana. Scammers are everywhere and they craft new tactics Kila siku"

0
0
0