
Common / Stinging Nettle Common ama Stinging Nettle kwa lugha yetu Kiwavi, ni plant iko common and in most cases u grow on its own, na some people u believe u grow kwa "Rich Homes". Its leaves u washa and ni fiti ku handle with care.
Some of the local uses, ni kuwa added kwa mukimo ikiwa dry and grinded, or kama medicine ku clean damu, kuna hadi wenye u sare ka fence around. Unaeza pia itumia kama foliar, fertilizer na compost. With these uses unaeza itumia ku make mullah ama shambani for economic reasons.
Kuna other uses umecheck ikitumika? Share na sisi kwa comment section.

0
0
0