
Communicatining na customers ni important ku keep biz ya mtu afloat,na pia ni wao hufanya biz ya mtu igrow,kwa part yangu mi hupea clients wangu number na pia nachukuwa number zao;specifically i do ask then how they felf wearing my products,pia mi hu request their pics to advertise my products,client akiniambia how confident they were na compliments walipata i really feel good. Communication ina create 2 bonds so far,0ne ni biz itagrow through your clients,two your communication itamake customers to feel free talking to you about your product.


0
0
0