Communication ni kitu important kwa biz. But kua mjanja kwa maneno yako- isiwe rude ama matusi Usiwe wa kubadilisha badilisha ulichosema otheryc watakuona mkora. Tuzidi kuhustle