Community ime-grow sana, na form since the beginning imekua kuejengana 💪 Tuchapie kwa comments; ushawai pata gig, customer ama opportunity hapa MESH? Kulienda aje? 🤔