
Comrades are officially back! 😂 Ni kama hawajawahi enda holiday — jana ilikuwa “unarudi lini?” leo ni “niokolee na soo” 😂😂. Classic comrades quotes bado ziko moto: “tuma za cabbage,” “naskia mess leo ni fire,” na ile ya legendary “comrades is always right!”
Sasa wacha tukumbushane — ukiwa campus, ni biz gani unaweza piga iku-keep afloat? Hizi ndo common comrades hustles:
📚 Printing & photocopy
👕 Thrifting mitumba clothes/shoes
🍛 Food delivery & cooking from hostel
📱 Selling airtime & bundles
💻 Online gigs (academic writing, transcribing, freelancing)
💇 Grooming (braiding, haircuts)
🎧 Event promotions & MC-ing
0
0
0