
Comrades #finance bill aside ,kuna hii story ya dragon fruits. Kuna wale farmers walipanda saa hizi kinawalamba vimbaya sana !.Just like quil eggs, saa hizi fruit moja ni ksh 30 from ksh 700 😢😢
Farmers are regretting hata wagepanda passion ama Wambugu apples 🍎. Despite all the efforts hata kujenga concrete pillars kwa shamba za kushikilia isianguke all that efforts going to drain. Enyewe Kenyans don't learn.
Meshers kuna msee mnajua alipanda hii fruit ama ana deal na hii biz ?How is he coping with the situation? Na kwa market iko karibu nawe, saa hizi how much is the fruit ?
#dragonfruit
@agribiz
@[Kivaya Josiah]


0
0
0