
Comrades hii Naiorbi wakenya hawalali. Here is digital Hustle Toolkit 🧰💻 1. TikTok & IG Reels – Hapa ndo unauza character yako kabla ya bidhaa. 2. Canva – Tuna design posters na logos hadi watu waone brand ni serious. 3. M-Pesa Till – Unahitaji hii ndio doh ijae bila kusema "nipe namba ya personal". 4. CapCut – Edit video kama mkurugenzi wa Hollywood kwa bedsitter. 5. WhatsApp Business – Hapa ndo customer care, marketing na HR ziko kwa group moja. 6. Jumia/Kupatana – Hii ni digital kiosk yako. 7. Google Forms – Unachukua orders kama CEO wa Amazon.
Ukiwa na hizi tools, si hustle tena – ni start-up! 🚀 . Umetumia gani kati ya hizi ?
0
0
0