
Comrades hupenda kupiga look ajab na hakuna mwenye hutaka kuvaa kitu fake .I heard this convo na comrades mahali eti sneakers heri ninunue “fake” za mtumba kuliko fake za duka.. Fake za mtumba are more of “original” and even if not original original, they are somewhere.. Fake za duka ni fake tu outright 😂😂 So wale wasee huwa tunarauka 4pm tuingie Gikomba kuchukua "camera" akina @[Ibrahimu Mswahili] na bongi ya #waseewamtush hii story ni kweli ? #Fakesneakers #originalsneakers



0
0
0