Comrades kuna scam, then kuna NANO SCREEN PROTECTOR ππ. Meshers, tulidanganywa ama tuko wengi? Ati ukiweka hiyo maji maji kwa screen simu yako inakua bulletproof π€£.
Halafu slogan yao ilikuwa noma π βKaribu customer kwa nano screen protector, kuangalia ni bure, kuuliza ni bure, kuwekewa ndio pesaaa!β ππ
Sasa swali ni moja, hiyo nano ilifanya simu yako ikue Samsung ya Iron Man ama iliishia tu kuwa maji ya kawaida ya tanki? π€π