
Comrades, kuna story imekuwa ikizunguka kwa job market π€. Ati ukiitwa job interview kuna doβs and donβts lazima ufollow. Wasee wengine wako on record wakisema hata ukiofferwa maji usinywe π.
Lakini how true is this jameni? Tuko season ya job hunting na interviews zimekuwa order of the day, so comrades lazima tujue zile basics.
ππΎ Some quick tips:
Fika mapema, usichelewe β°
Dress smart, ata kama ni simple π
Be confident, lakini usionekane overconfident πͺ
Sema ukweli juu ya skills zako, usi-overpraise π
Uliza at least one question at the end, inaonesha interest π€
ππΎ Ni nini unafaa kufanya ama usifanye kwa interview? ππΎ Advice gani unawezapea comrade anayastruggle kusettle kwa job?
Drop your tips hapa, huwezi jua yako ndio italandisha mtu job π