
Comrades/meshers huwa mnafanya nini kubalance stock? Hapa huwa noma coz ukifanya biz like ya mayai,smokies,kebab,smocha na waru hukua funny ajab! Kuna siku utafungua watu wakule smokies pekee alafu ushinde the whole night kuensure stock imeisha ya mayai na maybe waru zimeisha ! Tricky sana #kujituma

0
0
0