📢 Comrades na Meshers wenye mko kwa remote jobs na online hustles zinazolipa kupitia PayPal, mambo ni kumbya kidogo! 😅
Toka juzi kuna reports za accounts kupata limitations, zingine kufungwa kabisa, na wengine funds zao kuholdiwa review. Wale walikuwa wanangoja salary ya online hustle wamejikuta wakingoja email za PayPal badala ya pesa. 😂
Kama account yako bado iko sawa, verify details zako vizuri na usiweke mayai yote kwa kikapu kimoja. Online hustle ni tamu, lakini PayPal akiamka na mood zake, unaweza kutoka employee wa remote job hadi customer care consultant ndani ya dakika mbili. 😭😂
Meshers, tuwe makini na tuombee accounts zetu zisikulewe na upepo wa limitations! 💻💰🙏
#Meshers #OnlineHustle #PayPalMatters #RemoteJobs
0
0
0