
Comrades ni wagapi bado wamefungiwa nje ya KRA portal kama club za CBD? π Wale wa last minute rush kama true Kenyans... System imekuwa ikitupiga na βerror 500β hadi mtu anaanza kujiuliza kama returns ni exam.
Good news though β tumeongezewa few hours! So kama hujafile bado, toka TikTok kidogo, funga hiyo return haraka kabla GOK ikutoe 2K ya penalty.
Hii si time ya kudharau deadline β file ama ufile kwa machozi! π
#KRARush #KenyanTiming #ReturnsZaMwisho #PenaltyHatutaki

0
0
0