
Comrades nimekuwa kwa a certain social media and I saw this question and it's almost in each and every young person's mind
"Unaeza invest nini na 100K upate returns poa? lets uplift each other na ideas poaππΎππΎ"
These were some of the answers
1 Kuchukua dutthi second hand na uchape wira ajab
2 I think forex and crypto
3. Pool table ni around 80k hapo and you'll be collecting your coins on the daily.
4 .Watu hawajai jua pig farming iko na dola ukieka mikakati vizuri (Hao ni comrades wa Agribiz)
Wewe kama comrade ,ni gani unaona inaweza hapa?
Or do you have different opinion on this ?
0
0
0