
Comrades nimeona jamaa anaitisha pesa hadi ya dispenser na carpet akienda kuanza maisha campus,buana mimi nilianza maisha kimaajabu ata sikua na kitanda,mattress ilikua chini,towel ndio ilikua curtain ya dirisha,usiku nikiskia njaa nagaragara hadi kitchen kuangalia nini Nilibakisha ! Hebu tuongee hapa comrades,how did you start your life in uni na ni biz gani ama hustle gani ulipiga ukiwa chuo yenye ilifamya maisha ikakuwa atleast,tuchapiane kwa comments:-

0
0
0